Yn. 21:18 SUV

18 Akasema, Amin, amin, nakuambia, Wakati ulipokuwa kijana, ulikuwa ukijifunga mwenyewe na kwenda utakako; lakini utakapokuwa mzee, utainyosha mikono yako, na mwingine atakufunga na kukuchukua usikotaka.

Kusoma sura kamili Yn. 21

Mtazamo Yn. 21:18 katika mazingira