Yn. 21:23 SUV

23 Basi neno hilo lilienea katikati ya ndugu ya kwamba mwanafunzi yule hafi. Walakini Yesu hakumwambia ya kwamba hafi; bali, Ikiwa nataka huyu akae hata nijapo, imekupasaje wewe?

Kusoma sura kamili Yn. 21

Mtazamo Yn. 21:23 katika mazingira