25 Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.
Kusoma sura kamili Yn. 21
Mtazamo Yn. 21:25 katika mazingira