Yn. 21:3 SUV

3 Simoni Petro aliwaambia, Naenda kuvua samaki. Nao wakamwambia, Sisi nasi tutakwenda nawe. Basi wakaondoka, wakapanda chomboni; ila usiku ule hawakupata kitu.

Kusoma sura kamili Yn. 21

Mtazamo Yn. 21:3 katika mazingira