Yn. 3:19 SUV

19 Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.

Kusoma sura kamili Yn. 3

Mtazamo Yn. 3:19 katika mazingira