Yn. 3:2 SUV

2 Huyo alimjia usiku, akamwambia, Rabi, twajua ya kuwa u mwalimu, umetoka kwa Mungu; kwa maana hakuna mtu awezaye kuzifanya ishara hizi uzifanyazo wewe, isipokuwa Mungu yu pamoja naye.

Kusoma sura kamili Yn. 3

Mtazamo Yn. 3:2 katika mazingira