Yn. 3:31 SUV

31 Yeye ajaye kutoka juu, huyo yu juu ya yote. Yeye aliye wa dunia, asili yake ni ya dunia, naye anena mambo ya duniani. Yeye ajaye kutoka mbinguni yu juu ya yote.

Kusoma sura kamili Yn. 3

Mtazamo Yn. 3:31 katika mazingira