Yn. 3:36 SUV

36 Amwaminiye Mwana yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia.

Kusoma sura kamili Yn. 3

Mtazamo Yn. 3:36 katika mazingira