Yn. 3:8 SUV

8 Upepo huvuma upendako, na sauti yake waisikia, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda; kadhalika na hali yake kila mtu aliyezaliwa kwa Roho.

Kusoma sura kamili Yn. 3

Mtazamo Yn. 3:8 katika mazingira