Yn. 4:25 SUV

25 Yule mwanamke akamwambia, Najua ya kuwa yuaja Masihi, (aitwaye Kristo); naye atakapokuja, yeye atatufunulia mambo yote.

Kusoma sura kamili Yn. 4

Mtazamo Yn. 4:25 katika mazingira