27 Mara hiyo wakaja wanafunzi wake, wakastaajabu kwa sababu alikuwa akisema na mwanamke; lakini hakuna aliyesema, Unatafuta nini? Au, Mbona unasema naye?
Kusoma sura kamili Yn. 4
Mtazamo Yn. 4:27 katika mazingira