39 Na katika mji ule Wasamaria wengi walimwamini kwa sababu ya neno la yule mwanamke, aliyeshuhudia kwamba, Aliniambia mambo yote niliyoyatenda.
Kusoma sura kamili Yn. 4
Mtazamo Yn. 4:39 katika mazingira