Yn. 4:42 SUV

42 Wakamwambia yule mwanamke, Sasa tunaamini, wala si kwa sababu ya maneno yako tu; maana sisi tumesikia wenyewe, tena twajua ya kuwa hakika huyu ndiye Mwokozi wa ulimwengu.

Kusoma sura kamili Yn. 4

Mtazamo Yn. 4:42 katika mazingira