Yn. 5:18 SUV

18 Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia,

Kusoma sura kamili Yn. 5

Mtazamo Yn. 5:18 katika mazingira