Yn. 5:30 SUV

30 Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.

Kusoma sura kamili Yn. 5

Mtazamo Yn. 5:30 katika mazingira