Yn. 5:36 SUV

36 Lakini ushuhuda nilio nao mimi ni mkubwa kuliko ule wa Yohana; kwa kuwa zile kazi alizonipa Baba ili nizimalize, kazi hizo zenyewe ninazozitenda, zanishuhudia ya kwamba Baba amenituma.

Kusoma sura kamili Yn. 5

Mtazamo Yn. 5:36 katika mazingira