Yn. 5:4 SUV

4 Kwa maana kuna wakati ambapo malaika hushuka, akaingia katika ile birika, akayatibua maji. Basi yeye aliyeingia wa kwanza baada ya maji kutibuliwa, akapona ugonjwa wote uliokuwa umempata.]

Kusoma sura kamili Yn. 5

Mtazamo Yn. 5:4 katika mazingira