Yn. 5:43 SUV

43 Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo.

Kusoma sura kamili Yn. 5

Mtazamo Yn. 5:43 katika mazingira