Yn. 5:7 SUV

7 Yule mgonjwa akamjibu, Bwana, mimi sina mtu wa kunitia birikani, maji yanapotibuliwa; ila wakati ninapokuja mimi, mtu mwingine hushuka mbele yangu.

Kusoma sura kamili Yn. 5

Mtazamo Yn. 5:7 katika mazingira