Yn. 6:22 SUV

22 Siku ya pili yake mkutano waliosimama ng’ambo ya bahari waliona ya kuwa hakuna mashua nyingine huko ila moja, tena ya kuwa Yesu hakuingia katika mashua ile pamoja na wanafunzi wake, bali wanafunzi wake walikwenda peke yao.

Kusoma sura kamili Yn. 6

Mtazamo Yn. 6:22 katika mazingira