Yn. 7:12 SUV

12 Kukawa na manung’uniko mengi katika makutano juu yake. Wengine wakasema, Ni mtu mwema. Na wengine wakasema, Sivyo; bali anawadanganya makutano.

Kusoma sura kamili Yn. 7

Mtazamo Yn. 7:12 katika mazingira