Yn. 7:18 SUV

18 Yeye anenaye kwa nafsi yake tu hutafuta utukufu wake mwenyewe; bali yeye anayetafuta utukufu wake aliyempeleka, huyo ni wa kweli, wala ndani yake hamna udhalimu.

Kusoma sura kamili Yn. 7

Mtazamo Yn. 7:18 katika mazingira