Yn. 7:28 SUV

28 Basi Yesu akapaza sauti yake hekaluni, akifundisha na kusema, Mimi mnanijua, na huko nitokako mnakujua; wala sikuja kwa nafsi yangu; ila yeye aliyenipeleka ni wa kweli, msiyemjua ninyi.

Kusoma sura kamili Yn. 7

Mtazamo Yn. 7:28 katika mazingira