Yn. 8:24 SUV

24 Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.

Kusoma sura kamili Yn. 8

Mtazamo Yn. 8:24 katika mazingira