Yn. 8:26 SUV

26 Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu; lakini yeye aliyenipeleka ni kweli, nami niliyoyasikia kwake, ndiyo ninenayo katika ulimwengu.

Kusoma sura kamili Yn. 8

Mtazamo Yn. 8:26 katika mazingira