Yn. 8:42 SUV

42 Yesu akawaambia, Kama Mungu angekuwa baba yenu, mngenipenda mimi; kwa maana nalitoka kwa Mungu, nami nimekuja; wala sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye ndiye aliyenituma.

Kusoma sura kamili Yn. 8

Mtazamo Yn. 8:42 katika mazingira