1 Fal. 1:13 SUV

13 Enenda uingie ndani kwa mfalme Daudi, ukamwambie, Je! Hukuniapia mimi mjakazi wako, Ee mfalme, bwana wangu, kusema, Hakika yake Sulemani mwana wako atamiliki baada yangu, na kuketi katika kiti changu cha enzi? Mbona basi anamiliki Adonia?

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:13 katika mazingira