1 Fal. 1:17 SUV

17 Akamwambia, Bwana wangu, uliniapia mimi mjakazi wako kwa BWANA, Mungu wako, ya kwamba, bila shaka Sulemani mwanao atamiliki baada yangu, yeye ndiye atakayeketi katika kiti changu cha enzi.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:17 katika mazingira