1 Fal. 1:19 SUV

19 Tena amechinja ng’ombe, na vinono, na kondoo tele, na kuwaita wana wa mfalme wote pia, na Abiathari, kuhani, na Yoabu, jemadari wa jeshi. Ila Sulemani, mtumishi wako, huyu hakumwita.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:19 katika mazingira