2 Kwa hiyo watumishi wake wakamwambia, Bwana wangu mfalme na atafutiwe kijana mwanamwali; naye asimame mbele ya mfalme, amtunze; alale kifuani mwako, ili bwana wangu mfalme apate moto.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 1
Mtazamo 1 Fal. 1:2 katika mazingira