1 Fal. 1:28 SUV

28 Ndipo mfalme Daudi akajibu, akasema, Niitieni Bath-sheba. Basi akaingia ndani kwa mfalme, akasimama mbele ya mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:28 katika mazingira