1 Fal. 1:32 SUV

32 Naye mfalme Daudi akasema, Niitie Sadoki, kuhani, na Nathani, nabii, na Benaya, mwana wa Yehoyada. Nao wakaingia ndani mbele ya mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:32 katika mazingira