53 Basi mfalme Sulemani akatuma watu, wakamtelemsha toka madhabahuni. Naye akaja, akamwinamia mfalme Sulemani; naye Sulemani akamwambia, Enenda nyumbani kwako.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 1
Mtazamo 1 Fal. 1:53 katika mazingira