17 Na vigao mia tatu vya dhahabu iliyofuliwa; kila kigao kimoja kilipata mane tatu za dhahabu. Mfalme akaviweka katika nyumba ya mwitu wa Lebanoni.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 10
Mtazamo 1 Fal. 10:17 katika mazingira