25 Wakaleta kila mtu zawadi yake, vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi, na silaha, na manukato, na farasi, na nyumbu, hesabu yake ya mwaka kwa mwaka.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 10
Mtazamo 1 Fal. 10:25 katika mazingira