29 Tena gari huja kutoka katika Misri kwa shekeli mia sita za fedha, na farasi mmoja kwa mia hamsini; vivyo watu wakawaletea wafalme wote wa Wahiti, na wafalme wa Shamu, mikononi mwao.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 10
Mtazamo 1 Fal. 10:29 katika mazingira