1 Fal. 10:5 SUV

5 na chakula cha mezani pake, na watumishi wake walivyokaa, na kusimamia kwao wangoje wake, na mavazi yao, na wanyweshaji wake, na daraja yake ya kupandia mpaka nyumba ya BWANA, roho yake ilizimia.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 10

Mtazamo 1 Fal. 10:5 katika mazingira