7 Lakini mimi sikuzisadiki habari hizo, hata nilipokuja na kuona kwa macho yangu; tena, tazama, sikuambiwa nusu; wewe umezidi kwa hekima na kufanikiwa kuliko habari nilizozisikia.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 10
Mtazamo 1 Fal. 10:7 katika mazingira