1 Fal. 11:13 SUV

13 Lakini sitauondoa ufalme wote pia; nitampa mwana wako kabila moja, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu, na kwa ajili ya Yerusalemu niliouchagua.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 11

Mtazamo 1 Fal. 11:13 katika mazingira