1 Fal. 11:2 SUV

2 na wa mataifa BWANA aliyowaambia wana wa Israeli, Msiingie kwao, wala wasiingie kwenu; kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu kuifuata miungu yao. Sulemani akaambatana nao kwa kuwapenda.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 11

Mtazamo 1 Fal. 11:2 katika mazingira