1 Fal. 11:31 SUV

31 Akamwambia Yeroboamu, Twaa wewe vipande kumi, maana BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nitaurarua ufalme, na kuuondoa katika mkono wa Sulemani, nami nitakupa wewe kabila kumi,

Kusoma sura kamili 1 Fal. 11

Mtazamo 1 Fal. 11:31 katika mazingira