1 Fal. 12:7 SUV

7 Wakamwambia wakasema, Ukikubali kuwa mtumishi wa watu hawa leo, na kuwatumikia, na kuwajibu, na kuwapa maneno mazuri, basi watakuwa watumishi wako daima.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 12

Mtazamo 1 Fal. 12:7 katika mazingira