14 Akamfuata mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mwaloni, akamwambia, Je! Wewe ndiwe yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda? Akamwambia, Mimi ndiye.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 13
Mtazamo 1 Fal. 13:14 katika mazingira