1 Fal. 13:33 SUV

33 Baada ya hayo Yeroboamu hakuiacha njia yake mbovu, lakini akafanya tena makuhani wa mahali pa juu, wa watu wo wote.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 13

Mtazamo 1 Fal. 13:33 katika mazingira