1 Fal. 14:13 SUV

13 Na Israeli wote watamlilia, na kumzika, kwa maana ndiye peke yake wa Yeroboamu atakayeingia kaburini; kwa sababu limeonekana ndani yake jambo lililo jema kwa BWANA, Mungu wa Israeli, nyumbani mwa Yeroboamu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 14

Mtazamo 1 Fal. 14:13 katika mazingira