1 Fal. 14:23 SUV

23 Maana hao pia wakajijengea mahali pa juu, na nguzo, na maashera, juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 14

Mtazamo 1 Fal. 14:23 katika mazingira