1 Fal. 14:31 SUV

31 Rehoboamu akalala na babaze, akazikwa pamoja na babaze mjini mwa Daudi. Na jina la mamaye aliitwa Naama, Mwamoni. Na mwanawe, Abiya, alitawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 14

Mtazamo 1 Fal. 14:31 katika mazingira