1 Fal. 14:4 SUV

4 Akafanya hivi mkewe Yeroboamu, akaondoka, akaenda Shilo, akaja nyumbani kwa Ahiya. Basi Ahiya hakuweza kuona; kwa kuwa macho yake yamepofuka kwa sababu ya uzee wake.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 14

Mtazamo 1 Fal. 14:4 katika mazingira