1 Fal. 14:6 SUV

6 Ikawa, Ahiya alipoisikia sauti ya miguu yake, akiingia mlangoni, alisema, Karibu, mkewe Yeroboamu; mbona wajifanya kuwa mwingine maana nimetumwa kwako wewe, mwenye maneno mazito.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 14

Mtazamo 1 Fal. 14:6 katika mazingira