17 Kisha, Baasha mfalme wa Israeli akaondoka juu ya Yuda, akaujenga Rama, ili asimwache mtu ye yote kutoka wala kuingia kwa Asa mfalme wa Yuda.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 15
Mtazamo 1 Fal. 15:17 katika mazingira